BLOGGER TEMPLATES - TWITTER BACKGROUNDS »

Tuesday, December 4, 2012

HIVI NDIVYO KILIMANJARO MTIKISIKO 2012 GRAND FINALE IRINGA TOWN ILIVYOKUWA......


        Tamasha la tano la KILIMANJARO MTIKISIKO 2012 jumamosi ya wiki iliyopita ya Dec mosi lilifikia tamati Iringa mjini katika viwanja vya SAMORA.

STAGE

WATU WAKIFATILIA GAME HAPOHAPO UWANJANI

CROWD..
       Hili ni TAMASHA linalofanyika kila mwaka chini ya EBONY ENTERTAINMENT, Radio EBONY FM inayosikika katika mikoa yote ya NYANDA ZA JUU KUSINI na kwa udhamini mkubwa wa TBL kupitia bia yake ya KILIMANJARO PREMIUM LAGER ambapo mwaka huu limevunja rekodi ya kujaza uwanja wa mpira wa SAMORA kwa kuhudhuriwa na mashabiki na wapenda burudani wa mikoa ya Nyanda Za Juu zaidi ya 15,000.


WATU...

DJ MUBA

JB TOKA MABAGA FRESH
 
Mbali na wasanii kutoka katika mikoa ya Nyanda Za Juu...wasanii waalikwa kutoka Dar-es-Salaam waliofanikiwa kukonga nyoyo za mashabiki hao ni pamoja na ROMA, PROF JAY, IZZO B, DARASA, STAMINA, BOB JUNIOR, QUICK ROCKA, KALA JEREMIAH, JUMA NATURE, GANGWE MOBB, MABAGA FRESH, NEY WA MITEGO, MR. BLUE, BELLE 9 na wengine kibao.


IZZO B


STAMINA

DARASA

KILIMANJARO MTIKISIKO 2012 lilianzia katika mji mdogo wa MAKAMBAKO kwa mbili, ya kwanza katika viwanja vya AMANI na baadae kwenye ukumbi wa GREEN CITY HALL, baada ya MAKAMBAKO likafanyika jijini MBEYA kwenye viwanja vya CITY PUB na jumamosi wiki iliyopita limemalizika katika viwanja vya SAMORA mjini Iringa.


DARASA

DARASA

SUMA MNAZARETI

KALA JEREMIAH

DJ ALI-B

D.N.A. TOKA KENYA

D.N.A...ASANTE IRINGAAAA..

NEY WA MITEGO

NEY

BOB JUNIOUR

BELLE 9

R.O.M.A.

Thursday, November 29, 2012

MAANDALIZI YA MTIKISIKO 2012 "Ndo Vileeeeeeeee....!!"...STAGE ON CONSTRACTION..@ SAMORA GROUNDS IRINGA TOWN..







Tuesday, November 27, 2012

MTIKISIKO 2012..."Ndo Vileeee....!!!" GRAND FINALE IRINGA TOWN....

     Shamrashamra za MTIKISIKO 2012 "Ndo Vileeeee...!!!" zikiwa zinaendelea....na tukiwa tumemaliza lile tamasha kubwa la "ASANTE TANZANIA" kutoka kwa muigizaji wa filamu TANZANIA...Juma Kilowoko aka SAJUKI na mkewe WASTARA kwenye viwanja vya SAMORA wiki iliyopita....wiki hii ni GRAND FINALE ya MTIKISIKO 2012 itarindima palepale kwenye viwanja vya SAMORA...kuanzia saa 12 jioni mpaka 'the next day' kwa buku tano tu kama ukinunua tiketi mapema na buku saba mlangoni...hii ni list na wana watakaoonekana on stage......

BABA LEVO

BELLE 9

BOB JUNIOR

D.N.A (KENYA)

DARASA

DAZ BABA

JUMA NATURE

KALA JEREMIAH

IZZO BUSINESS

GANGWE MOBB

MABAGA FRESH

MWASITI

NEY WA MITEGO

PROF JAY

QUICK ROCKA

SUMA MNAZARETI

STAMINA

SOLID GROUND FAMILY
 

Monday, November 12, 2012

ASANTE SANA 94.7...GREEN CITY MBEYA KWA SUPPORT KUBWA MLIOONESHA..WE STILL THE BEST IN SOUTHERN HIGHLAND..


 
INSPEKTA  HAROUN (BABU)

CROWD...THANX MBEYA

CROWD NYINGINE..

DARASA

KANGA MOKO NDEMBENDEMBE

M.J WA BONGO

MICHAEL JACKSON

QUICK ROCKA

MUONEKANO WA STAGE

STAMINA ON STAGE

STAMINA..

SUMA MNAZARETI...