DARASA
GANGWE MOBB
IZO BUZINES
MABAGA FRESH
PROF JAY
QUICK ROCKA
STAMINA
RACHEL
Hii ni sehemu ya list ya wasanii watakaoonekana kesho pale CITY PUB....kuanzia saa mbili kamili usiku mpaka majogoo kwa uchakavu kiduchu wa sh. 3000/=....Artists wengine watatokea kama surprise....Dj competitions na ishu zingine kibao...watu wa 94.7 Green City Mbeyaaaaaa....hizo ndo mambo sasa.....MTIKISIKO 2012.."Ndo Vileeeeeeee...!!!!!!" kwa udhamini mkubwa wa KILIMANJARO PREMIUM LAGER...
0 comments:
Post a Comment